Mamia
ya wakazi wa Kibaha mkoani pwani pamoja na jiji la Dar es Salaam leo
walimiminika kwa wingi nyumbani kwa Marehemu Anastazia Saro Kibamba
Kibwegere kutoa heshima za mwisho kwa mama wa Mwanahabari Ufoo Saro
aliye uwawa kwa kupigwa risasi na mzazi mwenza wa binti yake huyo ambaye
pia alijeruhiwa kwa risasi.
Kwa
mujibu wa ripoti ya madkatari walioufanyia uvchunguzi mwili wa
Marehemu, Muuaji ambaye alitambulika kwa jina la Anthery Mushi ambaye
nae alijiua baada ya kutekeleza tukio hilo alimpiga risasi tano.
Mwili
wa marehemu ukiingizwa katika Kanisa la KKKT Mtaa wa Kibwegere Kibamba
kwa misa maalum,. Marehemu alikuwa akiimba kwaya ya Usharika huo.
Mwili wa marehemu ukiwa nyumbani kwake.
Mwili ukiwa ndani Kanisani
Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho wakiongozwa na baba mchungaji
Mkurugenzi wa ITV na Redio One, Joyce Mhavile akitoa heshima za mwisho. Picha ya juu ni mwana jamii.
No comments:
Post a Comment