Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Oman nchini anayemaliza
muda wake Mhe.Yahya Mousa Al Bakary ikulu jijini Dar es Salaam leo
asubuhi. Balozi huyo alikwenda ikulu kumuaga Rais(picha na Freddy Maro).
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment