
Photos: Behind the Scene Video ya Shaa – Sugua Gaga
Leo Mitaa ya Manzese ilikuwa ni siku ya Uchukuaji wa Picha za Video ya Audio Mpya ya Shaa Sugua gaga. Ambayo inatarajiwa kutoka wiki kadhaa zijazo uku teaser ya Audio hiyo pamoja na pics ikielezea utamu na How video hiyo itakuwa? Pengine hii ni Track na Video ya Kwanza shaa akifanya ikiwa kwenye maadhi ya radha ya Uswahilini kabisa. akiwa chini ya usimamizi wa Mkubwa na Wanawe ( Saidi Fella ) Check out Photos za Video ya Sugua Gaga iliyokuwa inafanyika leo.





No comments:
Post a Comment