skip to main |
skip to sidebar
UTUMISHI YAIPA KIPIGO TAKATIFU TAMISEMI,YATINGA NUSU FAINALI SHIMIWI
Timu
ya mpira wa Pete ya Ofisi ya Rais, Menejmenti ya Utumishi wa
Umma ”Kombani queens” ikifanya mazoezi mepesi kabla ya kuingia uwanjani
kupambana na TAMISEMI katika mashindano ya SHIMIWI Kiwanja cha Jamhuri
mjini Dodoma hizi ni taswira za timu ya mpira wa Pete ya Utumishi
“Kombani Queens” ilipoingia fainali kwa kuikung’uta TAMISEMI katika
michezo ya SHIMIWI inayoendelea. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi
wa Umma ‘Kombani queens” imeshinda mpambnano huo kwa goli 38-28 na
kuingia nusu fainali.
Fatma
Ahmed (GS) wa timu ya mpira wa Pete ya ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma akichukua pasi kutoka kwa Anna Msulwa (GA) (aliye
mbele yake) katika mashindano ya SHIMIWI mjini Dodoma. Utumishi
iliifunga TAMISEMI mabao 38-28.
No comments:
Post a Comment