Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakimsikiliza Balozi wa Tanzania
nchini China Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo (kushoto) wakati
aliposoma taarifa kwa Waziri Mkuu ambaye Oktoba 16, 2013 aliwasili
mjiniBeijing kwa ziara ya kikazi nchini China >(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya China
National Machinery Industry Federation na Mwenyekiti wa Bod ya Kampuni
ya TBEA, Bw, Zhang Xin baada a mazungumzo yao mjini Beijing Oktoba 16,
2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LALJI FOUNDATION YATOA MSAADA WA SARE NA VIFAA VYA SHULE KWA VITUO TISA VYA
WATOTO YATIMA DAR ES SALAAM
-
Na Mwandishi wetu
Wazazi na walezi nchini wamekumbushwa kuzingatia suala la kulea Watoto
katika ngazi ya familia ili wapate huduma za malezi bora na upend...
57 minutes ago
No comments:
Post a Comment