Baadhi
ya watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakati
alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Beijing akiwa katika
ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)Waziri
Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania kwenye ubalozi wao
mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.
Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Chini, Luteni Jenerali Abdulrahmani
Shimbo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania baada ya
kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara ya
kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipewa mauwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa
ndegea wa Shenzhen akitokea Beijing akiwa katika ziara ya kikazi
nchini China Oktoba 19, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza baada ya kutembelea Sheko
Container Teminal mjini Shenshen akiwa katika ziara ya kikazi nchini
China. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA UKIMWI YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA AFUA
ZA UKIMWI NJOMBE
-
NA. MWANDISHI WETU – LUDEWA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI,
Mheshimiwa Dkt. Elibariki Kingu ametoa pongezi kwa Mko...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment