skip to main |
skip to sidebar
ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA GUANZHOU
Waziri
Mkuu, mizengo Pinda akiongozana na Mwenyekiti wa shirika la Ndege la
China la HAINAN AIRLINES, Bw. Chen Feng (kushoto na Balozi wa China
nchini Dr. Lu baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Dong Fang mjini
Guanzhou akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 24, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mfano wa ndege ya Shirika la China
Southern Air kutoka kwa Rais na Mtendaji Mkuu wa Shirika hilo, Bw.
Tan Wengeng baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Dong Fang mjini
Guanzhou akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 24, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
wa Uchukuzi Dkt. Harison Mwakyembe akibadilishana kadi za mawasiliano
na Rais na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la China Southern Air,
Bw. Tan Wengeng wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na ujumbe wake
walipokutana na Rais huyo kwenye Hoteli ya Dong Fang mjni Guanzhou China
Oktoba 24, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo PInda kipokeazawadi ya picha kutoka wa Gavana wa
jimbo la Guangdong nchini China, Bw. Zhu Xiaodan baada ya
mazungungumzo yao kwenye hoteli ya Dong Fang mjini Guanzhou akiwa
katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 24, 2013. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Baadhi
ya Mawaziri walioongozana na Waziri mkuu katika ziara hiyo wakiwa
katika mkutano uliomkutanisha Waziri Mkuu na Watanzania waishio nchini
China
Waziri Mkuu, MIzengo Pinda akisalimiana na Gavana wa jimbo la
Guangdong nchini China, Bw. Zhu Xiaodan kabla ya mazungungumzo yao
kwenye hoteli ya Dong Fang mjini Guanzhou akiwa katika ziara ya kikazi
nchini China Oktoba 24, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais
wa Umoja wa Watanzania waishio Guanzhou China, John Rwehumbiza
akitembea haraka kuwahi mkutano kati ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na
watanzania waisio Guanzhou Oktoba 24, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Watanzania
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao
mjini Guanzhou China akiwa katika ziara ya kikazi Oktoba 24,2013. (picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Guanzhou China
baada ya kuzungumza nao akiwa katika ziara ya kikazi nchini China
Oktoba 24, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment