Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 19, 2013

BREAKING NEWS: ADEN RAGE ASIMAMISHWA NA KAMATI YA UTENDAJI YA SIMBA


Taarifa zilizothibitishwa kutoka Katika klabu ya Simba ni kwamba kamati ya utendaji ya klabu hiyo imemsimamisha mwenyekiti wa klabu Ismail Aden Rage kuongoza timu hiyo.
Kuhusiana na sababu zilizopelekea Rage kusimamishwa na kamati ya utendaji na Rage amechukuliaje uamuzi wa kamati ya utendaji, endelea kutembelea mtandao huu. Taarifa zaidi zitakujia.
chanzo na shaffih dauda
 

No comments:

Post a Comment