Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 18, 2013

BREAKING NEWS:WAFANYABIASHA WA KARIAKOO NA BAADHI YA MAENEO YA KARUME WAMEGOMA KUFUNGUA MADUKA YAO LEO


 
Wafanyabiashara Kariakoo na Baadhi Ya Maeneo ya Karume wamegoma kufungua maduka Leo Hii kwa sababu hawazitaki mashine za risiti walizoagizwa na TRA


 
Hii sio mara ya kwanza inatokea hapa nchini Tuliskia arusha waligoma juzi 


Mwanza baadhi ya maeneo 
Na Dodoma pia 
so Inabidi TRA wajipange bana 
Laki Nane ni ndefu sana kwa mfanya biashara wa kawaida wa kiTanzania 
lakini pia si kwamba hawawez kuilipa iyo laki nane,ila tatizo ni muda ulo wekwa na TRA Kulipia izo Mashine

No comments:

Post a Comment