Unapozungumzia Mixing,Cutting na Scratching(mikuno) zilizoenda shule basi hutoacha kumtaja Dj summer,Jumamosi Ya Tar 30-11-2013 pale escape one kwenye fainali za Epiq bongo star search Dj summer atatimua vumbi la hatariiiii kwenye burudani.Hii si ya kukosa wala kusimuliwa ni vizuri ukajioneee mwenyeweee kwa macho yako!!!!!!SHHHHHHHHHH KAUSHAAAAAAAA!!!!!
Rais Samia: Vijana Ndio Injini ya Serikali, Hatma ya Tanzania Ipo Mikononi
Mwenu
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema
vijana ndio nguzo kuu ya uendeshaji wa Seri...
14 hours ago



No comments:
Post a Comment