skip to main |
skip to sidebar
HII NDIO TV YA SAMSUNG YENYE UWEZO WA KUONYESHA CHANELI MBILI KWA WAKATI MMOJA
Kampuni yenye jina kubwa Duniani ya Sumsung Imezidi kujitanua zaidi hasa
katika tecknolojia yake kwa kutengeneza Tv yenye uwezo wa Kuonyesha
Stesheni Mbili kwa Wakati Mmoja.Sasa aina maan kugombana tena
kwani........
Samsung
wameligundua hilo na ndio maana wametengeza TV (Samsung S9C OLED TV)
inayoweza kuonesha channel mbili kwa wakati mmoja. Yaani maanake ni
kuwa, ukiwa na TV hiyo unaweza kuendelea kufurahia kuangalia mechi ya
Premier League na mkeo akiangalia tamthilia ya Mara Clara, hakuna tena
mabishano.
Kwenye screen, vipindi viwili huonekana kwa kufifia
lakini ukivaa miwani za 3D zilizotengenezwa na earphones zake, picha
hujitenga na mmoja anaweza kuangalia mpira na mwingine kuangalia
tamthilia ama kipindi kingine akipendacho.
TV hiyo inauzwa paundi 7,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 17.
No comments:
Post a Comment