skip to main |
skip to sidebar
HUZUNI::TUMSAIDIE MTOTO HUYU AWEZE KUPATIWA MATIBABU.
Mtoto
Khadija Omari mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi mitano anaomba msaada
wa upasuaji wa uvimbe mkubwa alionao kwenye kitovu,hivi sasa mtoto huyu
ameelazwa wodi namba 3 ghorofa ya tisa hospitali ya rufaa bugando
jijini Mwanza kwa uchunguzi wa kina wa kitatibu wa kidonda kabla ya
hatua ya upasuaji kufanyika.yoyote mwenye mchango wa
kuokoa maisha ya mtoto huyu mkazi wa nyakato manispaa ya Musoma anaweza
kuwasiliana na George Marato wa ITV na Redio One kwa namba namba za simu
zifuatazo 0767 446518,0787 446518 au 0713 446518,kila utakachokitoa
utalipwa na kuzidishiwa na mwenyezi mungu.
No comments:
Post a Comment