Kufuatia
vurugu hizo,jana usiku mamlaka za mitaa mjini Tripoli alitangaza siku
tatu za mgomo katika sekta zote za umma na binafsi mgomo unaoanza leo
Jumapili katika kukabiliana na vurugu.
Nchi ya
Libya imeshuhudia kuongezeka kwa machafuko wakati waasi wa zamani ambao
walisaidia kuipindua serikali ya muda mrefu ya marehemu Kanali Moamer
Kadhafi mwaka 2011 wameyadhihaki mtakwa ya serikali kuwataka waweke
silaha chini.
Via kiswahili.rfi.fr
Via kiswahili.rfi.fr


No comments:
Post a Comment