
Siku za furaha: Mario Balotelli akiwa mwenye furaha wakati wa mazoezi ya Italia Uwanja wa Craven Cottage jana
'KACHAA'
Mario Balotelli alikuwa mwenye furaha aliporejea England wakati
mshambuliaji huyo wa AC Milan alipokuwa akifanya mazoezi na kikosi cha
Italia Magharibi mwa London.
Balotelli
aliichezea Manchester City kabla ya kutibuana na aliyekuwa kocha wa timu
hiyo Roberto Mancini na wachezaji wenzake kadhaa hivyo kuondoka, lakini
nyota huyo mwenye umri wa miaka 23, aliyeondoka Etihad miezi 10
iliyopita, alikuwa mtulivu jana.
Kikosi
cha The Azurri kinaendelea na maandalizi ya Fainali za Kobe la Dunia
mwakani nchini Brazil na leo usiku kitacheza mechi ya kirafiki na
Nigeria, kwenye Uwanja wa Fulham, Craven Cottag

No comments:
Post a Comment