Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wana CCM
waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Nandanga
mahali ambapo ni mpaka wa wilaya za Ileje na Momba akiwa tayari
kuendelea na ziara yake ya kikazi katika wilaya ya Momba mkoani Mbeya
leo akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Nape Nnauye na
Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa
Kiamataifa.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-MOMBA
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akisalimiana na Eliakim
Simpasa aliyekuwa mbunge wa Mbozi Magharibi mara baada ya kuwasili
katika kijiji cha Nandanga wilayani Momba kushoto ni Dr. Asha Rose
Migiro Katibu wa NEC Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa
Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa akisalimiana na Eliakim Simpasa aliyekuwa mbunge wa Mbozi Magharibi
Wananchi waliojitokeza kuupokea msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa kushoto na Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Mbeya na mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki Mh Godfrey
Zambi wakiwa katika kikao cha halmashauri kuu ya Wilaya Momba.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza kikao wakati alipokutana
na wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya ya Momba mara baada ya kuwasili
katika wilaya hiyo.
Wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya Momba wakiwa katika kikao hicho.
Wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya Momba wakiwa katika kikao hicho,

No comments:
Post a Comment