MAMA SALMA KIKWETE, MJUMBE WA NEC AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MATAWI HUKO LINDI
Mke
wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, (CCM),
kutoka Lindi, Mama Salma Kikwete akipokewa na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa
wa Lindi Ndugu Ali Mtopa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa
Lindi tarehe 24.11.2013.
Mjumbe
wa NEC Taifa ya CCM, Mama Salma Kikwete, akivishwa skafu mara baada ya
kutua katika uwanja wa ndege wa Lindi tarehe 24.11.2013.
Mjumbe
wa NEC Taifa ya CCM kutoka Lindi Mjini na Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete akiongea na wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la Jangwani lililoko
katika Kata ya Chikonji huko Lindi terehe 24.11.2013.Mke
wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kutoka
Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akisononeka baada ya kubaini kuwa watoto
wengi wanaoonekana katika picha kutoka Kijiji cha Jangwani wamekatisha
masomo yao. Mama Salma alikwenda kijijini hapo kuongea na wajumbe wa
Halmashauri ya Tawi hilo tarehe 24.11.2013
Blog Zinazoanzia na Herufi ya W
-
*1. Wamtaani*
www.wamtaani.com
*2. Wanabidii Blog*
wanabidiiblog.blogspot.com
*3. Watanzania Waishio Nje ya Nchi*
watanzaniaughaibuni.blog...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment