Mhe. Bernard K. Membe (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akizungumzia ushiriki wa Tanzania katika operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa popote pale duniani.
Waziri
Membe akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mahojiano na mwandishi
Fredy Mwanjala (kushoto) na mpiga picha Bi. Fauzia Yusuph (kulia), wote
wanatoka Kituo cha Televisheni cha Channel Ten.
Na TAGIE DAISY MWAKAWAGO
Tanzania itaendelea kushiriki operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa popote pale duniani.
Msimamo
huo wa Tanzania uliwekwa wazi na Mhe. Bernard K. Membe (Mb), Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika mahojiano maalum na
Mwandishi Fredy Mwanjala wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten,
yaliyofanyika leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment