DJ SEKBLOG inatoa pole
zake kwa msanii SNURA kwa kufiwa na kaka yake wakuzaliwa nae
anaejulikana kwa jina la Yusufu kaka yake wa kwanza kuzaliwa kwa
marehemu baba yake mzee Mushi. Msiba huo umetokea Mlandizi baada ya
kupigwa na radi kali jana asubuhi wakati marehemu akiwa shambani kwake Mlandizi. SNURA akiongea na blog hii amesema wanazika leo huko huko Mlandizi mida ya saa kumi jioni. mungu alaze roho ya maehemu YUSUFU
MUSHI mahala pema peponi. AMIN.
UCHAGUZI CCM TANGA:MWANAFA AMPIGIA DEBE USTADH RAJAB
-
📍Awaonya wajumbe wasifanye ushabiki wa Messi na Ronaldo
Na Mashaka Mhando, Muheza.
MBUNGE wa Jimbo la Muheza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari Utama...
20 hours ago


No comments:
Post a Comment