Mshiriki toka Tanzania anayetuwakilisha kwenye mashindano ya Tusker project fame amefanikiwa kusonga mbele kwa mara nyingine baada ya kuwa kikaangoni yeye pamoja na washiriki wenzake wote ndani ya Tusker project fame.Waliotoka wiki hiii ni Phiona toka Rwanda na Kojjo kutoka Uganda.Hongera hisia Tanzania Gooooooooooooooooo Goooooooo
FURSA MPYA KWA VIJANA: BILIONI 2 KWA WATENGENEZAJI WA MAUDHUI
-
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda, amesema
Wizara imepatiwa kiasi cha TZS bilioni 2 itakayowawezesha watengenezaji wa
mau...
47 minutes ago




No comments:
Post a Comment