skip to main |
skip to sidebar
NEW HIT SONG::NIMEONA JOS MTAMBO DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA
Mkali toka Kigamboni anayetamba na hit song “Shut Up” ambayo ilipewa utamu kwenye Chorus na mwanadada Pipi, Jos Mtambo anakuja na jiwe lingine tena toka jikoni, Tongwe Records, Oysterbay Dar es salaam ambako mdundo huu umesukwa…
“Nimeona” ndo jina la ngoma hii mpya ambayo imepikwa na produza J Ryider…Nimeona ni moja ya track ambayo ipo kwenye albam yake, Jos, iitwayo “Wakigambo” Kuwa wa kwanza kuiskia hapa chini
No comments:
Post a Comment