Mkali wa single ya “Jambo Jambo”, Steve RnB leo hii ametambulisha ngoma yake mpya iitwayo “Tulikotoka”.
Kupitia Power Jams, ya East Afrika Radio mchana huu, mkali huyu
amedondosha mzigo huu…Mdundo huu unaelezea mrembo ambaye unaweza kuwa
naye kwa muda mrefu ambapo mmepitia vitu vingi kwa pamoja na mkaendelea
kufurahia upendo !! Such a lovely Tune ! Enjoy it
VIJANA WAADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA RAIS SAMIA, WATAJA FAIDA ZA UONGOZI
WAKE KWA MAENDELEO YA TAIFA
-
Na Mwandishi Wetu Michuzi Tv
VIJANA nchini wameungana kuadhimisha Siku ya Kumbukizi ya kuzaliwa Rais
Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakisema kuwa ni kiongozi m...
5 hours ago


No comments:
Post a Comment