Ata baada ya kugombana na kuachana nae na kurudiana na Rihanna, Bado Karrueche anampenda sana Brizzy kiasi cha kwamba yeye ndio mtu moja tu aliye mtembelea Chris Brown wakati yupo Rehab kwenye siku ya Thanx Giving. Hii inaitwa Ride Or Die Kind Of Love.
HESLB Yazindua Mfumo wa Akili Unde ‘BWANABOOM’ Kuboresha Huduma kwa Wadau
wa Elimu
-
* Na Mwandishi Wetu – Dodoma*
*Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imezindua rasmi mfumo
mpya wa huduma kwa wateja unaotumia teknolojia ya...
38 minutes ago



No comments:
Post a Comment