Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, November 17, 2013

PICHA ZA MWANA FA ALIPOTEMBELEA STUDIO ZA VOA



IMG_4606Mwana Fa mara tu alipowasili ofisi za VOA Washington Dc na kupokelewa na mkuu wa idhaa hiyo Mwamoyo Hamza siku ya Ijumaa Novemba 15 akiwa na Khadija Riyami (kati kati) na watangazaji wa idhaa kabla ya kuingia kwenye kipindi cha Live Talk kinachorushwa kila Ijumaa na VOA. IMG_4630Mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA Mwamoyo Hamza kushoto na Mwana Fa na mwenyeji wake Dj.Rich Mwandemane.
IMG_4626Khadija Riyami kushoto akiwa na Mwana Fa na Dj Rich. IMG_4628Wakiwa na prodyuza wa idhaa ya Kiswahili Duane Collins. IMG_4623Kshoto ni Mkamiti Kibayasi akiwa na Mwana Fa IMG_4642Mwana Fa akiwa na mtangazaji wa Music Time in Africa Heather Maxwell. IMG_4613Akiwa Live ndani ya studio. IMG_4637Mwana Fa na Dj Rich kwenye chumba cha mikutano VOA. IMG_4639Mwana Fa na Dj wakiwa studio za TV ya VOA. IMG_4641Ndani ya studio ya TV. IMG_4646Fa akipozi ndani ya studio. IMG_4631Dj Rich ndani ya nyumba.

No comments:

Post a Comment