RAIS DKT. KIKWETE AKUTANA MA JOPO LA USULUHISHI WA MIGOGORO
Rais
DKT. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea mbele jopo la Marais wastaafu wa
Afrika linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe Joaquim Chissano
anayefuatana na Rais Mstaafu wa Botswana Mhe Festus Mogae leo Novemba
25, 2013 Ikulu jijjini Dar es salaam. Mhe. Chissano, ambaye ni
mwenyekiti wa Jopo hilo pamoja na Mhe Mogae, walifika Ikulu kusikiliza
upande wa Tanzania kuhusu mgogoro wa mpaka na nchi ya Malawi, baada ya
kufanya hivyo hivi karibuni huko Blantyre.
RUANGWA HATUNA DENI NA RAIS DKT. SAMIA - MAJALIWA
-
Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wakazi
wa Wilaya ya Ruangwa hawana deni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment