Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima
za mwisho kwa Marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate leo Oktoba 4, 2013 Kinondoni
Dar es salaam
Rais Jakkaya Kikwete
akimfariji Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva baada ya
kuaga mwili wa marehemu Jaji Mstaafu
Hilary Mkate leo Oktoba 4, 2013 Kinondoni, Dar es salaam
Hilary Mkate leo Oktoba 4, 2013 Kinondoni, Dar es salaam
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment