Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini
Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini
Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment