Nyumbani ni nyumbani hatimaye msanii wa Msanii wa kizazi kipya bernard
paul ambaye maskani yake ni Dodoma siku ya jana tar 16.11.2013
ametembelea vituo vya watoto yatima mkoani Dodoma na kutoa msaada wenye
samani ya zaidi ya 1,000,000.
Akifanya zoezi ilo akiwa sambamba na marafki zake wa karibu wa Dodoma MSOUTH KATO na Edga Islael pamoja na wengine kibao.
Ben Poul aliamua kugawana kipato chake na watoto waishio kwenye
mazingira magumu Dodoma kama ishara ya kuwadhamini na kuwajali watoto.
ben poul alitemberea vituo vya shukrani na miyuji vituo ivyo vya watoto
shukrani kipo changombe Dodoma kituo kicho cha kuwalea watoto waliotoka
kwenye mazingira magumu pamoja na kituo cha miyuji kinacholea watoto
wenye mtindio wa ubongo
DJ SEK inampongeza ben poul kwa roho ya upenda aliyokuwa nayo
kwa kufanya mambo mazuri ya kumpendeza mwenyezi mungu, big up sana ben,
mungu atazidi kukubariki kwa kila jambo:
CREDIT : BOSS NGASA












No comments:
Post a Comment