Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, November 17, 2013

TAZAMA PICHA ZA KIBAKA APIGWA VIBAYA BAADA YA KUIBA BOKSI LA SPANA



 

Mwizi huyo akishushiwa kibano na raia.

...Akidhibitiwa asikimbie.
...Akijitetea baada ya kipondo.…
Mwizi huyo akishushiwa kibano na raia.
...Akiwa amekalishwa chini kusikilizia maamuzi.
KIJANA mmoja jana jioni alinusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kutuhumiwa kuiba sanduku la kuhifadhia spana katika gereji moja iliyopo eneo la Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam.
(PICHA GPL)

No comments:

Post a Comment