WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.
email: met@meteo.go.tz
UTABIRI
WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 11/11/2013.
[Mikoa ya Kigoma,
Rukwa,Tabora na Shinyanga ]: [Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza ]:
|
|
Hali ya mawingu, mvua na
ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua
|
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro
na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga,
Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Morogoro na
Ruvuma]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya, Lindi na Mtwara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Iringa na Mbeya]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Kiwango cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
29°C
|
17°C
|
12:13
|
12:24
|
D'SALAAM
|
32°C
|
24°C
|
11:57
|
12:18
|
DODOMA
|
34°C
|
19°C
|
12:12
|
12:31
|
KIGOMA
|
29°C
|
20°C
|
12:37
|
12:54
|
MBEYA
|
30°C
|
14°C
|
12:17
|
12:44
|
MWANZA
|
26°C
|
18°C
|
12:28
|
12:37
|
TABORA
|
33°C
|
19°C
|
12:25
|
12:42
|
TANGA |
30°C
|
22°C
|
12:00
|
12:17
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
23°C
|
11:57
|
12:18
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km
20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani
ya Kaskazini na
kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi
Madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumatano:
13/11/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 11/11/2013.
No comments:
Post a Comment