Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, November 6, 2013

VIDEO MPYA: INSPECTOR HAURUN FT. NANDY - SHARUBU ZA BABU

Baada ya kupotea sana kwenye game ya muziki wa kizazi kipya, msanii Inspector Haurun amerudi tena kwa kuachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Sharubu Za Babu.
Ambapo ndani ya ngoma hiyo Inspector amemshirikisha mwanamuziki Nandy.
Cheki video yenyewe hapa chini...

No comments:

Post a Comment