Mwanadada
Doria Tillier ametekeleza ahadi yake ya kutangaza taarifa ya habari ya
hali ya hewa kwenye kituo kimoja cha Televisheni akiwa uchi.
Mwanadada
huyo alitoa ahadi kama Ufaransa itafanikiwa kurudisha mabao 2
waliyokuwa wamefungwa na Ukraine kwenye mchezo wa kwanza wa kufuzu
fainali za kombe la Dunia basi angetangaza taarifa ya habari akiwa
kwenye hali ya utupu.
Kwenye
mchezo wa marudiano Ufaransa ilifanikiwa kuitandika Ukraine mabao 3-0 na
kufanikiwa kukata tiketi ya kwenda Brazil mwakani.
No comments:
Post a Comment