Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, November 2, 2013

YULE MTOTO ALIYEOMBA MSAADA AANZA MATIBABU


Mtoto Suleiman Amelazwa katika hopitali ya CCBRT na vipimo vikubwa vinaendelea kufanyika. Hadi leo hii tumekusanya shilingi milioni sita na lakin nane. Milioni tatu zimewekwa katika akaunti ya CCBRT kwa ajili ya malipo na tutawajulisha muda si mrefu kama operesheni yake itaweza kufanyika hapa Tanzania au nje ya nchi. Tumuachie Mungu, afanye miujuza... Tumuombee mtanzania mwenzetu.

Suleiman akiwa wodini CCBRT - Anawashukuru wote...

Picha na Hoyce Temu

No comments:

Post a Comment