skip to main |
skip to sidebar
DR. ASHA ROSE MIGIRO ALA KIAPO BUNGENI DODOMA LEO
Mbunge wa Kuteuliwa, Dr. Asha Rose Migiro akiapa, Bungeni Mjini Dodoma Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali, Bungeni Mjini Dodoma, Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter
Msigwa, Bungeni Mjini Dodoma Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola nje
ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment