Wanainchi wakiwa wamejipanga mtaaa wakimsubili Zitto kabwe
Kijana akiwa ameshona shati maalumu kwa ajili ya mapokezi ya zitto kabwe kigoma asubuhi hii
Wakina mama wakiwa na mabango yenye ujumbe
Ujumbe katika moja ya mabango yaliyobebwaa
Wakazi wa kigoma wakiwa wamejipanga kwa wingi barabarani
Vijana wakiwa karibu na kigoma airport wakimsubili zito kabwe
Wakazi wa kigoma wakimsubili zitto kabwe asubuhi ya leo
Tambala likiwa limefungwa juuu likiwa na ujumbe kwa Zitto kabw
Dj sek toka kigoma asubuhi ya leo imekutana na maelfu ya wanainchi wa mkoa huo wakiwa wanajiandaa na wengine wakieleke airport kumpokea mbung wao Zitto kabwe anayekuja jimboni kwake leo ambapo anatarajia kufanya mkutano mkubwa mkoani hapa,Picha na Taarifa zaidi zitaendelea kukujia kaa nasi.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
TCD Yaendelea Kuunganisha Vyama vya Siasa Kujadili Masuala ya Taifa
-
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mohamed Ahmed akizungumza jijini Dar es
Salaam Machi 13, 2026 katika hafla ya futari kwa Waislam na Wakristu
iliyoandali...
1 hour ago









No comments:
Post a Comment