Ney wa mitego amefunguka leo kupitia kipindi cha Amplifaya cha clouds fm kuwa amefanikiwa kuingiza kiasi cha mamilioni ya shilingi katika show za fiesta zinazoongozwa clouds, Ney wa mitego amesema hayo wakati huu wa kutimiza miaka 14 ya clouds fm alipokuwa akihojiwa. Ney "alisema Nimefanikiwa kuingiza zaidi ya milioni 24 za kitanzania katika msimu wa fiesta wa mwaka huu"
JAB kusimamia pia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi-Wakili Kipangula
-
Na Mwandishi wetu, JAB.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, Wakili
Patrick Kipangula amesema mbali na kutekeleza majukumu...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment