Mwaka jana katika
mahindano ya BSS mshindi Walter Chilambo alitumia wimbo wa nikikupata wa
Ben Pol na kuibuka mshindi katika shindano hilo.. Mwaka huu tena
mshiliki aliyeshinda kinyang'anyilo hicho (Emmanuel Msuya) Alitumia tena
wimbo wa Ben Pol na ukampa alama za juu na kufanya ashinde. Kutokana
na hatua hiyo soma alichokiandika Ben Pol na jinsi anavyojisikia kwa
sasa..
NIRC, JKT ZAUNGANA KUONGEZA UZALISHAJI KUPITIA UMWAGILIAJI
-
📍 Mlimba, Kilombero – Morogoro
Shamba la Chita JKT, lenye ukubwa wa ekari 12,000 zinazolimwa, limepangwa
kuwa mfano wa ushirikiano kati ya Jeshi la Kuje...
54 minutes ago


No comments:
Post a Comment