
USHIRIKIANO WA ADEM NA PROJECT ZAWADI KUINUA UONGOZI NA USIMAMIZI WA ELIMU
MKOANI MARA
-
Katika jitihada za kuboresha sekta ya elimu nchini Tanzania, ADEM na
Taasisi ya Project Zawadi wameingia makubaliano ya ushirikiano
utakaowezesha kuendesha...
3 minutes ago


Dr. Asha Rose Migiro akizungumza na wananchi wa Rujewa mkoani Mbeya.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh Abbas Kadoro akiwahutubia wananchi katika mji hu0 wa Rujewa
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Godfrey Zambi akitoa maelezo kwa Katibu
mkuu wa CCM Ndugu Abdularahman Kinana wakati alipotembelea mradi wa
Bwawa la kumwagilia mashanmba wa Mwendamtitu wilayani Mbarali.

Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Mbarali Bw. Adam Mgoyi akisoma taarifa ya
ujenzi wa bwawa la kilimo cha umwagiliaji la Mwendamatitukatika bonde
la 

No comments:
Post a Comment