Mkalimani
wa lugha ya alama aliekuwa akitafsiri maelezo mbalimbali pia hutuba ya
Rais Obama kwenye Ibada maalumu ya hayati Mandela inadaiwa kwamba
hakutumia alama zinazo tambulika mahala popote Duniani, Jana kupitia
kipindi cha Dira ya Dunia cha BBC kinachorushwa na kituo cha Televishen
cha star TV cha Tanzania ilielezwa kwamba wataalamu wengi wa lugha ya
alama walishangazwa na mkalimani huyo ambae kimsingi alikuwa haijulikani
anaongea nini, uchunguzi zaidi unafanywa ili kubaini ukweli wa jambo
hili.
SHILATU ATOA TAHADHARI UCHAGUZI
-
~ Aeleza Kuna maisha baada ya uchaguzi
Na Mwandishi wetu Mpapura
Afisa Tarafa Mpapura Emmanuel Shilatu amewataka Wananchi kushiriki uchaguzi
wa Serikali ...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment