Mshindi wa TPF 5 Ruth Matete ameomba
radhi kutokana na vazi alilovaa Jumapili iliyopita wakati wa fainali
ya Tusker Project Fame-6, Jijini Nairobi.
Matete ambaye pia ni mwimbaji kiongozi
wa kwaya, aligeuka kuwa gumzo kutokana na zavi alilovaa ambalo wengi
waliona kuwa halifai!, na kusababisha kushambuliwa kupitia mitandao ya
kijamii.
Kupitia akaunti yake ya facebook asubuhi
ya leo Matete ameomba radhi kwa kuvaa vazi lisilostahili wakati
akitumbuiza katika show hiyo.
"Having let so many down, I am lost for
words to express my sincere apology for my inappropriate dress during
the TPF final show. Without making excuses, I must say that I am indeed
sorry. The pressure that comes with performance and fame can drive one
to make mistakes. I am indeed a work in progress. I pray that you can
find it in your hearts to forgive me and not give up on me. I am
sincerely sorry for my wrong. I have sought the counsel of my mentors
and spiritual cover. I know under their guidance, I will continue to
grow and become more like Christ.
Sincerely,Ruth Matete"
Hizi ni baadhi ya comments juu ya nguo aliyovaa Ruth,
-The only thing I’ll remember about
#tpf6 grand finale is Ruth Matete ‘s handkerchief ooops I’m sorry I
meant dress #NiHayoTuKwaSasa
-Hahaha ni material ya nguo illisha :)
RT @AntiBigwig : ..am Watching PORNOGRAPHY for the first time on #TPF6
Ruth Matete is the Pornstar!
-Nobody does RT ” @KenyanSam : I didn’t like that Ruth Matete Dress. #tpf6 ”
-Whoa… that Ruth Matete dress seriously and she’s a Church Choir member. OMG! #TPF6 that’s so darn serious and BAD EXAMPLE!
Licha ya wengi kuonekana kutokubaliana
na uchaguzi wa nguo aliyoivaa Ruth, lakini Principal wa shindano hilo la
TPF6 Achieng Abura, amemtetea Ruth kwa kuandika
“Ruth Matete, you looked lovely in the
white dress and moved around in it gracefully as you sang
beautifully...hold your head high my dear. You cannot please everybody,
you will only hurt yourself if you try. Be blessed.
No comments:
Post a Comment