Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozindua Jimbo la Kusini
mwa Tanzania la Kanisa la Waadventista wa sabato kwenye uwanja wa
maonyesho wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Desemba 7, 2013.
Wengine pichani ni Maaskofu kwa kanisa hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu) Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na maaskofu wa kanisa la Waadventista wa
Sabato baada ya kuzindua Jimbo la Kusini mwa Tanzania kwenye uwanja wa
maonyesho wa Mwali Nyerere jijini Dar es salaam Desemba 7, 2013.Kulia ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nisahati na Madini, Eliakim Maswi. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na maaskjofu wa Kanisa
la Waadventista wa Sabato baada ya kuzindua Jimbo la Kusini kwa
Tanzania la Kanisa hilo kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es salaam Desemba 7, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
SERIKALI YATOA TAKRIBANI SHILINGI BIL. 41 KUBORESHA MIONDO MBINU SUA
-
NA FARIDA MANGUBE, MOROGORO
Takribani shilingi bilioni 41 zimetolewa na serikali kupitia Mradi wa Elimu
ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) unaofadhiliwa...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment