Kikosi cha timu ya Afrika Kusini kiimba wimbo wa taifa.(Picha na Francis Dande)
Wachezaji wa timu ya Afrika Kusini walioanza katika kipindi cha kwanza.
Wachezaji wa timu ya Tanzanite walioanza katika kipindi cha kwanza.
Nahodha
wa timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania 'Tanzanite' Fatma Issa
akisalimiana na nahodha wa Basetsana, Kaylin Swart kabla ya mchezo wa
kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake wenye umri chini
ya miaka 20 uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Afrika Kusini ilishinda 4-1.
Vumilia Seleiman akimtoka mchezaji wa Afrika Kusini, Nomonde Nomtsheke.
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya wanawake wenye
umri chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’, Shelda Boniface akimtoka beki wa timu ya
Afrika Kusini ‘Besetsana’, Tiisetso Makhubela katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za
Kombe la Dunia la wanawake wa umri huo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam jana. Afrika Kusini ilishinda 4-1.
Kumiliki mpira.
Shelda Boniface akimiliki mpira mbele ya beki wa Afrika Kusini, Meagan Newman CHANZO PAMOJA BLOG TUNAOMBA BOFYAHAPA LIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI NA ZA KUSISIMUAAA(USIPITWEEE)
No comments:
Post a Comment