Shukrani za dhati ziende kwa kwa mwenyezi Mungu, kwa kunijalia
afya njema mimi na crew yangu nzima ya WCB,..ambapo
leo mchana kabla
sijaenda mombasa,nimefanya onyesho kwenye maadhimisho
ya family day ya
kampuni ya
sigara nchini..TCC,Chang'ombe
kiukweli kabisa nimepata faraja
kiukweli kabisa nimepata faraja
kubwa
sana kwanza
kwa umati uliokuwepo pia sapoti ya shangwe
walizonipatia
mashabiki wangu,mwanzo hadi mwisho wa show
pasipo kuchoka..nawapenda
sana
watu wangu...angalia baadhi ya picha ya
kile tulichokifanya na
mida hii nipo mjini mombasa mda mchache ujao me na
mida hii nipo mjini mombasa mda mchache ujao me na
team nzima ya wasafi ,pamoja na Lekadutigite family
tunaenda kuandika historia mpya kabisa hapa..kaa mkao wa kuhabarishwa...
tunaenda kuandika historia mpya kabisa hapa..kaa mkao wa kuhabarishwa...
Swala zima lilianzia Nyumbani,nikimalizia kujiandaa |
eneo la tukio..Romy Jons,akiweka sawa mitambo yake |
Amsha amsha ikaanza kihivi |
Kazi imeanza |
nawapenda sana watoto..maskin ya Mungu hata hakajui kaanzaanzaje twende sawa na kaka ake |
Ukizungumzia hisia za mbagala..!!! |
TUNAOMBA BOFYAHAPA LIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI NA ZA KUSISIMUAAA(USIPITWEEE) |
No comments:
Post a Comment