Ni moja ya matukio ambayo kila nikiyatazama
kwenye maktaba yangu ama nikiyakumbuka.
.najiskia ni kiasi
gani nina deni kubwa la kutowaangusha mashabiki
wangu,ni mapenzi ya hali ya juu,me ni nani watu waache kazi zao
sana watu wangu and always i will do the best for you,alisema diamond
Ayaaaaa Diamond yuleeeeeeeeeeeeeeeee
PICHA ZA CHINI NI NCHINI CONGO
Wakina mama nao heeee kumbe ndio diamond yuleeeee
Ulinzi ulikuwa wa kutoshaaaa
Msafara wa watu na Msanii Diamond
Aiseeeee siamini macho yangu kwa huu umati wa watu
Hello my pipooooooooooo
Umati wa watu ukimshangilia Diamond
Hahahahahahhahaa kumbe uyu ndie diamond!!!!!!!!!!!

No comments:
Post a Comment