Jana usiku ziliibuka taarifa kwamba muigizaji maarufu na nguli Mzee small kafariki dunia,Taarifa hizo zilienea kwa kasi sana hasa kupitia mitandao ya kijamiii,lakini jana usiku huo huo mtandao wetu ulifanikiwa kuongea na mtoto wa kiume wa mzee small na akakanusha taarifa hizo.Hiyo hapo chini ni video ikimuonesha mzee small akiwa mzima wa afya na kuwalaani vikali wale wote walioeneza taarifa hizo za uongo.
MAGARO AWATAKA MADIWANI KUSIMAMIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU.
-
Na Nasra Ismail- Geita
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Geita Karia Magaro
amewataka madiwani kusimamia Sheria kanuni na taratibu za uende...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment