Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, December 5, 2013

TUNAOMBA SANA RADHI PICHA ZINATISHA::KIKONGWE AUAWA KWA KUKATWA MAPANGA SHINGONI WILAYA YA KAHAMA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA.


Mama mmoja aliyetajwa kwa jina la Lucia Mgonga (55) mkazi wa kijiji cha Mega wilayani Kahama mkoani Shinyanga ameuwawa kwa kukatwa Mapanga na watu wasiojulikana.
Tukio hilo la kutisha limetokea Usiku wa kuamkia juzi majira ya saa mbili usiku wakati bibi huyo akiwa na wajukuu zake wakipata chakula cha jioni.
Marehemu akiwa katika eneo alilokuwa akila chakula na wajukuu zake
Marehemu amepoteza maisha baada ya kukatwa panga sehemu ya bega lake la kushoto na Shingoni.
Sababu ya mauwaji hayo inaelezwa kuwa ni imani za kishirikina.

Wananchi wakiwa na uongozi wao wa Kijiji baada ya Tukio hilo la kutisha 



CHANZO DUNIA KIGANJANI

No comments:

Post a Comment