skip to main |
skip to sidebar
WABUNGE WAPIGWA MSASA KUHUSU CHANGAMOTO ZA MILLENIA NA MKAKATI WA “MATOKEO MAKUBWA SASA”
Mwenyekiti
wa Kamati ya kudumu ya bunge ya Huduma za Jamii, Margareth Sitta,
(Kulia), akizungumza kwenye warsha ya siku moja iliyoandaliwa na ofisi
ya bunge kwa kushirikiana na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa
(UNDP), chini ya mpango wake wa usaidizi wa shughuli za bunge, mjini
Dodoma jana. Warsha hiyo iliyoandaliwa kwa wabunge, ililenga kujadili
mafanikio na changamoto za mpango wa serikali wa kupambana na umasikini
(MKUKUTA), changamoto za millennia na mkakati wa serikali wa hivi
karibuni wa “Matokeo Makubwa Sasa” na umuhimu wake kwa jamii. Kushoto
ni mtaalamu wa mipango wa UNDP hapa nchini, Amon Manyama.
Mbunge
waKaragwe, Gozbert Blandes, akichangia mada mbalimbali zilizowasilishwa
na wataalamu kwenye warsha ya siku moja iliyoandaliwa na ofisi ya bunge
kwa kushirikiana na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa (UNDP),
chini ya mpango wake wa usaidizi wa shughuli za bunge, mjini Dodoma
jana. Warsha hiyo iliyoandaliwa kwa wabunge, ililenga kujadili mafanikio
na changamoto za mpango wa serikali wa kupambana na umasikini
(MKUKUTA), changamoto za millennia na mkakati wa serikali wa hivi
karibuni wa “Matokeo Makubwa Sasa” na umuhimu wake kwa jamii
Mtaalamu
wa mipango wa shirika la maendeleo la umoja wa mataifa hapa nchini,
UNDP, Amon Manyama. (Kulia), akifungua warsha ya siku moja moja
iliyoandaliwa na ofisi ya bunge kwa kushirikiana na shirika la maendeleo
la umoja wa mataifa (UNDP), chini ya mpango wake wa usaidizi wa
shughuli za bunge, mjini Dodoma jana. Warsha hiyo iliyoandaliwa kwa
wabunge, ililenga kujadili mafanikio na changamoto za mpango wa serikali
wa kupambana na umasikini (MKUKUTA), changamoto za millennia na mkakati
wa serikali wa hivi karibuni wa “Matokeo Makubwa Sasa” na umuhimu wake
kwa jamii. Katikati ni mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya huduma
za jamii, Margareth Sitta na Mkurugenzi wa kuondoa umasikini wizara ya
fedha, Anna Mwasha
No comments:
Post a Comment