Wananchi wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa miili ya watu walofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wilaya ya Moshi vijijini huku wananchi wengine wakishuhudia
Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao.
Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea
Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa tukio hilo walikuwa wakijaza Moramu likiwa limeangukiwa na ngema iliyokatika na kusababisha vifo vya watu sita. Kwa picha zaidi zilizopigwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii mkoa wa Kilimanjaro BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment