Waziri
wa Uchukuzi,Dr Harisoni Mwakembe afanya ukakuguzi wa tiketi ilikubaini
mabasi yaliyo toza gharama kubwa za nauli zakusafiria katika kipindi cha
Xmass na mwaka mpya,badhi ya mabasi yalikamatwa nakuamuliwa kurudisha
nauli zilizozidi abiria wao.zoezi hilo limefanyika majira ya alfajiri
katika eneo la Visiga mkoani pwani na kila basi lilozidisha nauli
lilitozwa faini ya shilingi laki mbili na nusu.
TRA DODOMA YATOA MKONO WA UPENDO NA FARAJA KWA WENYE ULEMAVU WA MACHO
KUELEKEA SIKUKUU YA PASAKA.
-
DODOMA, 2 Aprili 2026
Kuelekea sikukuu ya Pasaka, Meneja wa TRA Mkoa wa Dodoma, Bw. Pendolake
Elinisafi, ameongoza ziara ya kutembelea kaya za watu weny...
15 minutes ago



No comments:
Post a Comment