Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 3, 2014

FILAMU YA MAJUTO SI HASARA YAWA GUMZO BAADA YA TANGAZO LAKE KUWASHANGAZA WENGI.

  

Filamu ya Majuto si Hasara Imeshamalizika,na katikati ya wiki hiii watu wengi walishangazwa na ubora wake baada ya kupata nafasi ya kuona kipande kidogo cha filamu hiyo,Mkurugenzi wa Eagle entertainment Madame Yuster amesema wametumia ujuzi na ubunifu wa kila aina ili kuweza kuteka soko la filamu Tanzania na Afrika kwa ujumla.



TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)



No comments:

Post a Comment