Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 3, 2014

HOT NEWSS::WATU WAWILI WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO KWENYE MACHIMBO YA TERATI ARUSHA



Mtu mmoja amefariki dunia na wengine kujeruhiwa vibaya,baada ya kufunikwa na udongo katika mgodi wa machimbo ya kokoto ya Terati jijini Arusha walipokuwa wanafanya kazi ya kuchimba kokoto.Serikali ya kata ya Terati yasema machimbo hayo yanaendeshwa kinyume na taratibu.


TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

No comments:

Post a Comment